MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif
Ali iddi, akiangalia mashamba ya wakulima wanayolima hivi sasa, baada ya
Walengwa wa mpango wakunusuru kaya masikini kujengwa tuta la kuzuwia maji
chumvi kutokuingia katika mashamba yao, kushoto ni Ijinia Talib Bakari
aliesimamia ujenzi wa tuta hilo.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif
Ali Iddi, akikagua tuta lenye urefu wa mita 200, linalojengwa na walengwa wa
mpango wa kunusuru kaya masikini kupitia mradi wa muda, katika bonde la Kidau
shehia ya Ndagoni Wilaya ya Chake Chake.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid
Abdalla, akisalimiana na walengwa wa mpango wa kunusuru kaya masikini shehi ya
ndagoni Wilaya ya Chake Chake Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif
Ali Iddi, akimsikiliza mmoja wa walengwa wa mpango wa kunusuru kaya masikini
shehia ya Ndagoni Wilaya ya Chake Chake.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif
Ali Iddi, akizungumza na walengwa wa mpango wa kunusuru kaya masikini shehia ya
ndagoni Wilaya ya Chake Chake, wakati alipofanya ziara ya kuangalia ujenzi wa
tuta la kuzuwia maji chumvi, kushoto ni mama Asha Suleima Iddi na kulia ni
Waziri wa Nchi Mohamed Aboud Mohamed.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment