Habari za Punde

Balozi Seif azindua jengo jipya la Idara ya Uhamiaji , Chakechake katika maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar

 JENGO jipya na la kisasa la Idara ya Uhamiaji Pemba, kwa ajili ya watendaji wa Idara hiyo, lililopo Ndugu kitu Chakechake Pemba, ambalo limefunguliwa na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe: Balozi Seif Ali, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za maadhimisho ya kutimia miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe: Balozi Seif Ali Iddi, akiondosha kitambaa kuashiria kulifungua jengo la ghorofa mbili la Idara ya Uhamiaji, lililopo Ndugu kitu Chakechake Pemba, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar, yalioasisiwa mwaka 1964, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe: Balozi Seif Ali Iddi, akikata utepe kuashiria kulifungua jengo la ghorofa mbili la Idara ya Uhamiaji, lililopo Ndugu kitu Chakechake Pemba, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar, yalioasisiwa mwaka 1964, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 PICHA ya pamoja baina ya Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar Mhe: Balozi Seif Ali Idd, akiwa na baadhi ya watendaji wa Idara ya Uhamiaji, mara baada ya kulifungua jengo la ghorofa mbili la Idara hiyo, lililopo Ndugu kitu Chakechake Pemba, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar,(Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WANANCHI mbali mbali Kisiwani Pemba, waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa jengo la Ghorofa mbili la Idara ya Uhamiaji, lililopo Ndugu kitu Chakechake Pemba, lililofunguliwa na Makamu wa Pili wa rais Zanzibar Mhe: Balozi Seif Ali Idd, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 VIONGOZI mbali mbali wa Serikali, wakimsikiliza Makamu wa Pili wa rais Zanzibar Mhe: Baloz Seif Ali Iddi, alipokuwa akizungumzanao, mara baada ya kulifungua jengo la Idara ya Uhamiaji, lililopo Ndugu kitu Chakechake Pemba, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MSOMA utenzi maarufu Kisiwani Pemba, Halima Juma akisoma utenzi ulioibua hisia kwa waliohudhuria, kwenye ufunguzi wa Jengo la ghorofa mbili la Idara ua Uhamiaji Pemba, ambalo limefunguliwa na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe: Balozi Seif Ali Idd, ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).        

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.