Habari za Punde

ZRB wafanya mafunzo maalum juu ya mabadiliko ya Sheria za Kodi kisiwani Pemba


 Ofisa Sera na Utafiti kutoka Bodi ya Mapato Zanzibar, Ahmed  Haji Saadat, akifunguwa  mafunzo juu ya mabadiliko ya Kodi kwa Wafanyabiashara mbali mbali Kisiwani Pemba iliofanyika huko katika hoteli ya Achipilago Tibirinzi Pemba.
 Baadhi ya Wafanyabiashara Kisiwani Pemba, wakisikiliza kwa makini mabadiliko ya sheria za kodi kutoka kwa afisa uhusiano wa ZRB Zanzibar, Makame Khamis Moh'd huko katika hoteli ya Achipilago Kisiwani Pemba.

Ofisa Uhusiano wa Bodi ya Mapato Zanzibar ( ZRB) Makame Khamis Moh'd , akiwasilisha mada juu ya mabadiliko ya Sheria za Kodi huko katika Hoteli ya Archipilago Tibirinzi Chake Chake Pemba.

Picha na Bakar Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.