Habari za Punde

Mazingira mazuri ya kukuza soka la vijana yanahitajika


LICHA ya Serikali kutaka kujenga viwanja vya michezo kila Wilaya, lakini ipo haja ya kuandaa mazingira mazuri ya kukuza soka la vijana, Pichani watoto wakicheza mpira katika Uwanja wao ambao husubiri hadi maji ya bahari kukupwa na kutoka ndipo wapate nafasi ya kucheza mpira huko Wesha Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.