Habari za Punde

Michuano ya watoto Mapinduzi Cup Pemba Mkoani yailaza Chakechake 6-5

 KATIBU Tawala Mkoa wa Kusini Pemba, Ahmed Khalid , akisalimiana na timu ya watoto ya wilaya ya Mkoani, kwenye uwanja wa Gombani Pemba, kwenye michuano ya watoto Mapinduzi CUP, yalioandaliwa na kutayarishwa na ZBC Zanzibar, ambapo Mkoani ilishinda kwa mabao 6-5 dhidi ya Chakechake (Picha kwa Hisani ya Mratib ZBC -Pemba)  AFISA Mdhamini wizara ya Habari Pemba Khatib Juma Mjaja, akitoa nasaha zake kwa watoto wa wilaya ya Mkoani na Chakechake, kwenye michuano ya watoto Mapinduzi Cup, yaliofanyika uwanja wa Gombani Pemba, ambapo timu ya watoto ya Wilaya ya Mkoani, ilishinda kwa mabao 6-5 (Picha kwa hisani ya Mratibu ZBC, Pemba)

 NAIBU Mratibu wa ZBC Zanzibar Nassra Juma, akizungumza kwenye uzinduzi wa michuano ya Watoto Mapinmduzi Cup, kwenye uwanja wa Gombani, ambapo timu ya watoto wa wilaya ya Mkoani ilishinda kwa mabao 6-5 dhidi ya wenzao wa Chakechake, (Picha kwa hisani ya Mratibu ZBC-Pemba)


Picha zote na Haji Nassor Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.