Habari za Punde

Ufunguzi wa Skuli Mpya ya sekondari ya Mohamed Juma Pindua Mkanyageni kisiwani Pemba

 Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkwe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati walipowasili katika Ufunguzi wa Skuli Mpya ya sekondari ya Mohamed Juma Pindua huko Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo ikiwa  ni shamara shamara za  maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 07Jan 2017.
 Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Skuli mpya ya Sekondari Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba,iitwayo Mohamed Juma Pindua, ikiwa ni shamara shamara za  maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,[Picha na Ikulu.] 07Jan 2017.
 Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata Utepe  kuashiria uzinduzi wa Skuli Sekondari Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba, ikiwa ni shamara shamara za  maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma, (kulia) Mama Mwanamwema Shein,[Picha na Ikulu.] 07Jan 2017.
 Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma pamoja na Viongozi mbali mbali walipotembelea chumba cha Kompyuta mara baada ya    kuizindua Skuli  Mpya ya Sekondari ya Mkanyageni,iliyopewa jina la Mohamed Juma Pindua,katika Kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba, ikiwa ni shamra shamra za  maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 07Jan 2017.
 Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiangalia Vitabu mbali mbali wakati alipotembelea madarasa mbali mbali na maabara baada   kuizindua Skuli  Mpya ya Sekondari ya Mkanyageni,iliyopewa jina la Mohamed Juma Pindua,katika Kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba, ikiwa ni shamra shamra za  maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma ,[Picha na Ikulu.] 07Jan 2017.
 Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa maelekezo kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma  wakati alipotembelea madarasa mbali mbali na maabara baada   kuizindua rasmi leo  Skuli mpya ya Sekondari Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba,iliyopewa jina la Mohamed Juma Pindua, ikiwa ni shamra shamra za  maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto)   ,[Picha na Ikulu.] 07Jan 2017.
  Wananchi na Wanafunzi wa Mkanyageni na Vijiji jirani Wilaya ya Mkoani Kusini Pemba waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Skuli  Mpya ya Sekondari ya Mkanyageni,ilyopewa jina la Mohamed Juma Pindua,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza nao leo katika  shamra shamra za maadhimisho ya miaka 35 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 07Jan 2017.

Baadhi ya Wananchi na Wanafunzi wa Mkanyageni na Vijiji jirani Wilaya ya Mkoani Kusini Pemba wakimsikiliza Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza nao leo katika uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni,ilyopewa jina la Mohamed Juma Pindua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 35 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 07Jan 2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.