Habari za Punde

Uzinduzi wa vifaa vipya vya kushushia makontena katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar

 Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo mizito inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,leo vimezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  katika  shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017. 


 Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo mizito inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,leo vimezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  katika  shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017. 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Ali Abeid Amani Karume,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja  katika Uzinduzi wa  Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahamoud,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Cpt.Abdalla Juma,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja  katika Uzinduzi wa  Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo makontena ya mizigo mizito leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo  Makontena ya mizigo mizito wakiwepo na Viongozi mbali mbali,  ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata bmaelezo kutoka kwa  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Cpt.Abdalla Juma,kuhusu utendaji wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika    Bandari ya Malindi Mjini Unguja  mara baada ya Uzinduzi uliofanyika leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwasha   Mashine ya Reach Stacker yenye uwezo wa kunyanyua Tani 45  wakati alipokuwa akikagua  Vifaa vipya vya kufanyia kazi   katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja  mara baada ya Uzinduzi rasmi alioufanyika leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.