Habari za Punde

Wananchi Walivyojitokeza Katika Michuano ya Kombe la Mapinduzi Nusu Fainali Kati ya Simba na Yanga jana Usiku.

Wapenzi wa Timu ya Yanga na Simba wakiwa katika foleni kukata tikeki za mchezo huo wa nusu fainali ya michuano ya 11 ya Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika jana usiku Uwanja wa Amaan Zanzibar, hadi kufika mchana tiketi za mchezo huo zimeisha na wananchi wengi wamejitokeza kutaka kujionea nusa fainali hiyo ya Kombe la Mapinduzi.
Katika mchezo huo wa Nusu Fainali Timu ya Yanga imefugwa kwa penenti 3-2, Timu ya Simba kusonga mbele kucheza Fainali na Timu ya Azam siku ya Ijumaa Usika katika uwanja wa Amaan Zanzibar.. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.