Habari za Punde

Waziri Castico aweka jiwe la msingi nyumba za wafanyakazi wa Hospitali ya Makunduchi

 Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Maudline Castico akifungua pazia kuashiria uwekaji wa Jiwe la msingi la nyumba za wafanyakazi wa Hospitali ya Makunduchi, Mkoa Kusini Unguja ikiwa ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 53 ya Mpinduzi ya Zanzibar.
 Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Idrissa Muslim Hija akizungumza na wananchi wa Makunduchi baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la katika la nyumba za wafanyakazi wa Hospitali hiyo, wa tatu (kushoto) Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman.

  Baadhi ya wananchi wa Makunduchi na vijiji jirani waliohudhuria uwekaji wa jiwe la msingi la nyumba za wafanyakazi wa Hospitali ya kijiji hicho wakimshangiria mgeni rasmi katika sherehe hiyo.
Picha ya pamoja Waziri Maudline Castico na baadhi ya viongozi wa Mkoa Kusini Unguja na Wizara ya Afya baada ya sherehe za kuweka jiwe la msingi la nyumba zawafanyakazi wa Hospitali ya Makunduchi.
Picha na Makame Mshenga/Maelezo Znz.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.