Habari za Punde

Yasmin Alloo akabidhi msaada wa Computer kwa Skuli ya Madrasatul Islamiya Mchangani

Kada wa Chama Cha Mapinduzi na Mlezi wa shule ya Al-Madrasat Islamiya ya Mchangani mjini Zanzibar, Yasmin Alloo katika kusherekea miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar, jana alitembelea shule hiyo na kukabidhi Computer (Laptop) kama alivyoahidi mwezi Novemba mwaka jana. Pichani Yasmin Alloo akikabidhi Computer kwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Mohamed Rashid.
 Yasmin akiongea na wanafunzi wa shule hiyo jana.
Yasmin akiangalia mwanafunzi wa chekechea jinsi anavyoandika.

Picha zote na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.