Habari za Punde

Matukio ya Picha Mitaani Pemba.

Bandari ya Mkoani hutowa huduma mbalimbali za Meli za Mizigo na Abiria zinazofunga gati katika bandari hiyo na kuhudumia wananchi kama inavyooneka Meli ya MV Sahara ikishusha mchele katika bandari hiyo jana. 
Mkulima wa bonde la ndagoni kisiwani pemba akiandaa shamba lake kwa ajili ya kilimo cha mpunga kwa msimu huu. Mabonde mengi kisiwani pemba yalikuwa hayawezi kulimika kutokana na jua kuwa kali na ardhi kukauka kwa kipindi kilichopita kwa kukosa mvua na mengi kuingia maji chuvi kwa juhudi za Serikali kujenga tuta kuzuiya kuingia kwa maji chumvi katika mashamba yao. likiwa na urefu wa mita 200.
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.