Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Ajumuika na Vijana wa Halaiki katika Chakula Maalum Aliowaandalia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Mjini Magharibi Unguja leo katika  hafla ya  chakula maalum kwa Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Mjini Magharibi Unguja leo katika  hafla ya  chakula maalum kwa Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya Viongozi walioshiriki katika hafla ya chakula cha mchana alichokiaandaa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa Vijana wa halaiki walioshiriki katika sherehe za Mapinduzi ya mwaka 2017kutimiza miaka 53 katika viwanja wa Kambi ya KVZ Mkoa wa Magharibi Unguja leo
Wakufunzi   wa  Vijana walioshiriki halaiki wakiimba wimbo maalum wakati wa  hafla ya chakula cha mchana alichokiaandaa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa Vijana wa halaiki walioshiriki katika sherehe za Mapinduzi ya mwaka 2017 kutimiza miaka 53 katika viwanja wa Kambi ya KVZ Mkoa wa Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiteta na Katibu wa Uhamasishaji Ali Mohamed Baraka (Shasha)(wa pili kulia) akiwepo Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe,Zubeir Ali Maulid (kulia) na Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Waziri wa nchi Ofisi ya rais tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheir, wakati wa hafla maalum ya chakula alichowaandalia Vijana walioshiriki katika Halaiki ya sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyofanyika leo katika viwanja Kambi ya KVZ Mkoa wa Magharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 05/02/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.