Habari za Punde

Mitaa ya Mji Mkongwe ya Historia.

Mitaa ya historia ya Mji Mkongwe wa Zanzibar ikipamba na majengo ya Kale ya Beit Ajaib na Ngome Kongwe ni moja ya vivutio vya Zanzibar kwa wageni wanaofika Zanzibar kujionea maajabu ya majengo hayo jinsi yalivyojengwa wakati huo kwa kutumia mawe na udongo na kujenga haiba nzuri ya mji huo wa Unguja na mitaa yake ya Mji Mkongwe kwa majengo ya mawe.
Kama inavyoonekana kwa sasa majengo hayo yakiwa katika mitaa hiyo ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.