Habari za Punde

Ligi daraja la pili Taifa Pemba: Tekeleza na Small Libakuza hakuna mbabe 1-1

 MCHEZAJI Adam Seif (jezi Majano) wa Timu ya Tekeleza, akimdhibiti mshambuliaji wa Timu ya Small Libakuza Hamad Shehe, katika mchezo wa ligi daraja la Pili Taifa Pemba, hatua ya sita bora, mchezo uliopigwa katika uwanja wa Gombani na kumalizika kwa goli 1-1.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
 MSHAMBULIAJI wa Timu ya Small Libakuza Hamad Shehe, akijaribu kutafuta mbinu za kumtoka mlizi wa Timu ya Tekeleza Adam Seif, katika mchezo wa ligi daraja la Pili Taifa Pemba, hatua ya sita bora mchezo uliopigwa katika uwanja wa Gombani na kumalizika kwa goli 1-1.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
MLINDA Mlango wa Timu ya Tekeleza Abuu Silima, akiruka juu kuokoa mpira wa Kona uliopigwa langoni mwake, wakati wa mchezo wa ligi daraja la Pili Taifa Pemba, hatua ya sita bora mchezo uliopigwa katika uwanja wa gombani na kumalizika kwa goli 1-1.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.