Habari za Punde

Ligi Kuu Zanzibar kanda ya Pemba , Jamhuri na Shaba zatoka suluhu 2-2

MCHEZAJI wa Timu ya Shaba Salum Ali kimpiga chenga Kepteni wa Timu ya Jamhuri Mohammed Omar, wakati wa mchezo wa ligi kuu za Zanzibar uliopigwa katika uwanja wa FFU Finya matokeo ya mchezo huo Jamhuri na Shaba kufungana goli 2-2.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MCHEZAJI Mahmoud Mohamed wa Timu ya Shaba akiisawazishia timu yake ya Shaba goli  kwanza katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar, uliopigwa katika uwanja wa FFU, Finya matokeo ya mchezo huo Jamhuri na Shaba
kufungana goli 2-2.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.