Habari za Punde

Taarifa ya Msiba wa Marehemu Abdallah Khelef Shauri Uliotokea Nchini Norway Jumamosi .

Familia ya Shauri Mjaka na Ndugu zake Wanasikitika kutangaza Kifo cha Mtoto wao Abdalla Khelef Shauri Mjaka kilichotokea Nchini Norway siku ya jumamosi na mipango ya mazishi inafanyika baada ya kukamilika taratibu zote za mazishi Nchini Norway.

Marehemu alikuwa akiishi Nchi huko kwa muda mrefu hadi mauti yanamkuta akiwa nchini huo.  marehemu anatarajiwa kuzikwa mara baada ya maandalizi kukamilika Nchini Norway kwa kushirikiana na Watanzania wanaoishi huko.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.