Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki matembezi ya mazoezi ya viungo kwa Mawaziri Wabunge pamoja
na wananchi waliuhudhiria katika kushiriki mazoezi hayo ambayo yamefanyika
katika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma yakiwa na lengo la kupambana na maradhi yasiyo
ambukizika Mazoezi hayo yamefanyika kitaifa Mkoani Dodoma
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza mazoezi ya viungo kwa Mawaziri Wabunge pamoja
nawananchi waliuhudhiria katika kushiriki mazoezi hayo ambayo yamefanyika
katika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma yakiwa nalengo la kupambana na maradhi yasiyo
ambukizika Mazoezi hayo yamefanyika kitaifa Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwahutubia Mawaziri Wabunge
Watumishi na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma ambao wajitokeza katika kushiriki
Mazoezi ya Viungo yenyelengo la Kupambana na Magonjwa yasiyo ambukizika Mazoezi
hayo Kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Jamuhuri Mkoani Dodoma
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment