Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Azungumza na Ujumbe wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Bi Lekhethe Mmakgoshi kutoka Afrika Kusini akiongoza Ujumbe wa Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wanaofanyakazi zao ndani na nje ya Bara la Afrika mara walipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 01/03/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wanaofanyakazi zao ndani na nje ya Bara la Afrika unaoongozwa na Bi Lekhethe Mmakgoshi kutoka Afrika Kusini (wa pili kulia) walipofika Ikulu Mjini Unguja leo
Picha na Ikulu Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.