Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika
Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini
Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mke wake Mama Janeth
Magufuli katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar
es Salaam

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa wakiwatakia heri ya Masista
katika Ibada ya Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokiya
ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli katika Kanisa Katoliki Parokiya ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Father Asis akijiandaa Kumpaka majivu kichwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Ibada
ya Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokiya ya Mtakatifu
Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Paroko Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro
Father Asis akimpaka majivu kichwani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli katika Ibada ya Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika
Kanisa Katoliki Parokiya ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es
Salaam.
Paroko Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro
Father Asis akimpaka majivu kichwani Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika
Ibada hiyo ya Jumatano ya majivu.
Paroko Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro
Father Asis akimpaka majivu kichwani Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini
Wiliam Mkapa katika Ibada hiyo ya Jumatano ya majivu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu
Benjamini Wiliam Mkapa mara baada ya Ibada hiyo ya jumatano ya Majivu
iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment