Baadhiya Maofisa wa Serikali na Waandishi wa
habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano
na Mazingira January Makamba wakati akitoa taarifa ya operesheni maalum ya
kutokomeza pombe kali aina ya viroba mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba
(katikati) akisisitiza jambo kwa Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati
akitoa taarifa ya operesheni maalum ya kutokomeza pombe kali aina ya viroba
mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni. Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira
toka Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Mayungi na kushoto ni Kaimu
Kamishna wa Polisi Lucas Mkondya. Picha zote na Eliphace Marwa - Maelezo
No comments:
Post a Comment