Habari za Punde

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azungumza na Kamati zac Siasa za Mkoa wa Kusini Pemba Leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamd Shein alipokuwa akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) katika mkutano wa  CCM kwa Wajumbe wa Kamati za Siasa za Mkoa wa Kusini Pemba uliofayika leo katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wilaya ya Chake chake[Picha na Ikulu.] 05 /04/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamd Shein (katikati) akizungumza na akiwa na Wajumbe wa Kamati za Siasa za CCM katika Mkoa wa Kusini Pemba,uliofanyika leo  katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wilaya ya Chake chake,(kulia)  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) na Katibu wa CCM MKoa wa Kusini Pemba
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa CCM  Kamati za Siasa za Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamd Shein,alipokuwa akizungumza katika mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wilaya ya Chake chake

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Kamati za Siasa za Mkoa wa Kusini Pemba wakimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamd Shein,katika mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wilaya ya Chake chake,[Picha na Ikulu.] 05/04/.2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.