Habari za Punde

Mvua za Masika Tayari Zimeaza Kuleta Athari kwa Baadhi ya Majengo Katika Maeneo ya Mji wa Zenj.

Mvua za masika zinazonyesha katika maeneo mbalimbali ya Unguja tayari yameshaaza kuleta athari kwa majengo katika sehemu hizi kwa kuchukuliwa mchanga na kufanya mmomonyoko wa ardhi na kuleta madhara kwa majengo hayo kama inavyoonekana moja ya majengo ya Skuli ya Mtoni likiwa katika athari hiyo ya mvua za mazika kwa kuchukuliwa mchanga wa eneo wa mejengo hayo na maji ya mvua. na kuhatarisha ukuta wa moja ya madarasa ya skuli hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.