Habari za Punde

Ligi KuuZanzibar Nane Bora Kati ya Jangombe Boys na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Mchezo Uliomalizika Bila Kufungana.

Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Hakimu Khamis kulia na Beki wa Timu ya Jangombe Boys Ibrahim Mohammed wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa raundi ya Pili ya Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora uliofanyika katika uwanja wa amaan Zanzibar. Timu hizo zimetoka sare ya bila kufunga.
Mshambuliaji wa Timu ya Jangombe Boys Hafidh Bakar akiwa na mpira akimpita beki wa Timu ya Zimamoto Suleiman Said wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
Mchezaji wa Timu ya Jangombe Boys na Zimamoto wakiwa nia mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora raundi ya Pili uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mshambuliaji wa Timu ya Jangombe Boys Hafidh Bakari akipiga mpira golini kwa timu ya Zimamoto wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.huku beki wa Timu ya Zimamoto Suleiman Said akijiandaa kumzuiya.   
Heka heka golini kwa timu ya Zomamoto wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora, mchezo uliofanyika uwanja wa amaan zanzibar.
Mchezaji wa Timu wa Zimamoto na Jangombe Boys wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika uwanja wa amaan zanzibar.
Wachezaji wa Timu ya Jangombe Boys wakitoka uwanja baada ya kumalizika kwa kipindi cha kwanza cha mchezo huo timu hizo zikiwa sare ya bila kufungana 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.