Habari za Punde

Kamati ya Kitaifa ya Amani ya Viongozi Zanzibar Wazungumzia Mmomonyoko wa Maadili na Waandishi wa Habari.

Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar Sheikh Salim Mohammed akizungumza na waandishi wa habari jinsi mmomonyoko wa maadili wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar 
Viongozi wa Kamati hiyo wakifuatilia mkutano huo kuzungumzia kuzungumzia hali ya mmomonyoko wa maadili kwa vijana 
Askofu wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar Askofu Micheal Hafidh akisisitija jambo wakati wa mkuta kuzungumzia maadili kwa vijana. Uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons shangani Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.