LICHA ya Mvua kuwa zinaendelea Kunyesha Kisiwani
Pemba, lakini Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, inapaswa
kuchukua juhudi za makusudi kuifanyia ukarabati barabara ya Machomanne-Vitongoji
kuepuka ajali katika maeneo ya Dira kama inavyoonekana katika Picha.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MMLAKA ya Maji Zanzibar (ZAWA)Tawi la Pemba,
linapaswa kuchukuwa hatua za makusudi kunusuru maradhi ya Mripiko yasije
kutokea kwa wakaazi wa Mtoni Chake Chake, kufuatia bomba ya maji katika eneo la
Mtoni Chake Chake ambalo limekatika na kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment