Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Atembelea Maeneo Yalioathirika na Mvua na Kuwafariji Wananchi Waliopata Maafa Hayo Kisiwani Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Mhe:Dk Ali Mohamed Shein, akikagua moja ya athari iliyotokea katika kijiji cha Mchanga wa Kwale baada ya maji ya Mvua kuwa mingi na kuifukia Mipunga ya wananchi
Mzee Mohammed Omar akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mpainduzi Mhe:Dk Ali Mohamed Shein, juu ya athari za mvua zilivyo ondosha kilimo cha wananchi wa Mchangwa wa Kwale
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Mhe:Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia athari iliyopatikana katika daraja la Chamanangwe, kufuatia mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha na kuharibu sehemu ya daraja hilo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe:Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia athari za mvua zilizoathiri Miundombinu ya Barabara ya Njia Kongwe katika kijiji cha Mchangawa Kwale Wilaya ya Wilaya Chake Chake Pemba, katika ziara yake ya siku moja Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.