Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Awasili Zanzibar Baada ya Ziara Yake Nchini Djibout.

Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia aliopanda Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, ikiwasili Zanzibar baada ya kumaliza ziara yake ya Kiserikali ya Siku Tano Nchini Djibout ikituwa Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk Abdallah Juma Mabodi wakielekea kumpokea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Djibout alipokuwa na Ziara ya Kiserikali ya Siku Tano Nchini humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Djibout. baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsalimia Mtoto Naifat Fauz baada ya kumvisha shada la maua baada ya kuwasili kastika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimsalimia Mtoto Naifat Fauz baada ya kumvisha shada la maua baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Djibout baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Mhe Said Soud, alipowasili Zanzibar akitokea Nchini Djibout baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wazee wa CCM Zanzibar. alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkewe Mama Mwanawema Shein, akiwapongia mkono Wananchi waliofika kumpokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar mafanikio ya ziara yake hiyo Nchini Djibout iliochukuwa siku tano. 
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.