Habari za Punde

Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Yawasilisha Bajeti Yake

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisoma na kuwasilisha Bajeti ya Ofisi yake katika Mkutano wa Sita wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,  akisoma Bajeti yake kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/2018 katika ukumbi wa Baraza Chukwani Zanzibar leo 10/5/2017. 
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akisoma Bajeti yake kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2017/2018
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia hutuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisoma wakati akiwasilisha kwa Wajumbe.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.