Habari za Punde

Tangazo la Kupotelewa na Vitambulisho Vya Ndg Mussa Rajab Kheri.

Tangazo la Kupotelewa

Tangazo kwa Mtu yoyote aliyookota Vitambulisho vya Ndg Mussa Rajab Kheri, vilivyompoteka katika maeneo ya Barabara ya Maruhubi kuelekea Fuoni morocco kupitia uwanja wa nome mpaka kisima mkuyu Mjini Unguja jana.
Vitambulisho vilivyopotea ni pamoja ya leseni ya Udereva, Kadi za ATM za Benki 3, Vitambulisho vya Bima ya Afya 3.
Kwa yoyote alivyoviokota anaombwa kuwasiliana na Ndg Mussa Rajab Kheri kwa namba ya simu  0777457701 au kuvipeleka Kiwanda cha Soda Maruhubi Zanzibar.

Au kuvipeleka Osifi za Gazeti la Zanzibar leo, Kikwajuni Maisara
na kuwasiliana na Othman Maulid.

Kumawasiliano Piga Namba Hizii
0777424152
0777457701

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.