Habari za Punde

Zoezi La Uzinduzi wa Mpango wa Mimi na Wewe Zanzibar. Kusaidia Wananchi wa Hali ya Chini.

Wananchi na Viongozi katika Mji wa Zanzibar wajitokeza kwa wingi katika zoezi hilo la Uzinduzi wa Mimi na Wewe kuweza kuchangia Wananchi hali zo zikiwa za chini uliofanyika katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi michezani. 

Wananchi wengi wamejitokeza katika uchangiaji wa Damu Salama kwa afya za wananchi wanaopata matatizo ya ajali na maradhi kuweza kuwasaidi damu hiyo. Karibu chupa mia tatu za damu wananchi wemeweza kuchangia Siku hiyo ikiwa ni kuadhimisha mwaka mmoja wa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayuob Mohammed Mohmoud.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.