Habari za Punde

Harakati za Kukamilisha Nguo za Watoto za Sikukuu Katika Mtaa wa Mchangani Zanzibar

Wananchi wa Visiwani Zanzibar wakiwa katika maduka ya mtaa wa mchangani wakikamilisha mahitaji ya Watoto wao kwa ajili ya matumizi ya kusherehekea Sikukuu ya Eid el Firty, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati hiyo jana na kufunga mtaa huo na kukosa pa kutia mguu kwa wananchi walivyokuwa katika harakati hizo.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.