Habari za Punde

Matayarisho ya Sikukuu Katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Yakiwa Yamekamilika kusherehekea Sikukuu hiyo Katika Viwanja Hivyo leo.

Wafanyabiasha wa vitu vya kuchezea watoto wakiwa katika harakati za kumaliza matayarisho hayo kwa ajili ya kufanya biashara kwa Wananchi wanaofika katika viwanja hivyo leo jioni kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitry inayosherehekewa na Waislam Wote Duniani leo baada ya kumaliza Mfungu wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Wafanyabiasha ya mapembea katika viwanja vya sikukuu mnazi mmoja wakitayarisha kufunga vifaa vyao kwa ajili ya michezo ya watoto wanaofika katika kusherehekea sikuku ya Eid el Firty leo jioni katika viwanja vya Mnazi Mmoja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.