Habari za Punde

Mafunzo ya Kutia Saini Mikataba Mbalimbali Kwa Wanasheria wa Serikali Zanzibar.

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Ali Khamis, akimkabidhi cheti Mwanasheria wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Said Malik, baada ya kumaliza mafunzo ya siku tano juu ya namna ya kuandaa na kutia saini mikataba mbalimbali ya serikali. Hafla hiyo ilifanyika Juni 24, 2017 katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo mjini Zanzibar. (Picha na Abdalla Omar-MAELEZO).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.