Mambo ya kachu katika ufukwe wa bahari ya forodhani Zanzibar vijana wengi hutumia ufukwe huo kwa kuogelea tangu enzi hizo eneo hilo taimu ya jioni hujaa vijana kwa watoto kwa kuogelea wakati maji yakijaa. Kama anavyoonekana kijana huyu akiruka maji kwa staili ya kachu.
WADAU WA UTALII WAZIDI KUITIKIA WITO WA SERIKALI.
-
-Hoteli ya Kifahari ya Mapito Safari Camp yazinduliwa rasmi Serengeti
Matokeo ya jitihada kubwa za Serikali ya Tanzania kutangaza vivutio pamoja
na kuvutia...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment