Habari za Punde

Matukio Mitaani Zenj

Wananchi wakiwa katika eneo la barabara ya malindi wakiongali gari yenye namba za usajili Z 568 FP, iliopata hitilafu ya kiufundi wakati ikiwa katika mwendo, katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.
Foko lift likiondoa gari iliopata ajali katika barabara ya malindi ikiwa katika mwendo kwa kuchomoka moja ya tairi la gari hilo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.