Habari za Punde

Mjasiriamali Zenj Akiwa Kazini

MJASIRIAMALI wa biashara ya nazi katika eneo la chukwani unguja  Ndg Salim Ali Mihambo akipanga bidhaa hizo kama alivyokutwa na mpiga picha wetu akiwa katika harakati za kupanga bidhaa hiyo, fungu moja anauza shilingi 10,000/= likiwa na nazi 8, bidhaa ya nazi katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani hutumika kwa wingi katika mapishi ya futari na maakuli mengine.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.