Habari za Punde

Yaliojiri Siku ya Kuwasilishwa Bajeti Kuu ya Serikali Kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akiingia katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi tayari kwa kuanza kwa Mkutano huo kwa kusomwa Bajeti ya Serikali itakayowasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed, akiongozwa na askari wa Baraza kwa bwaride. 
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akiingia katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi tayari kwa kuaza kwa Mkutano huo kwa kusomwa Bajeti ya Serikali itakayowasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed. 
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika Mkutano wa Sita wa Baraza la Wawakilishi kwa Wajumbe ili kuwa tayari kuichangia baada ya kuwasilishwa rasmin.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.