Habari za Punde

Benki ya NMB Yakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Kambi ya Kipindupindu Zanzibar.

Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar,Ndg. Abdalla Duchi (kulia) akikabidhi msaada Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe Marina Joel Thomas,vifaa vilivyotolewa na NMB kwa Wizara ya Afya Zanzibar kwa ajili ya Kambi ya Kipindupindu iliyoko katika eneo la Chumbuni nje kidogo ya mji wa Unguja. Vifaa hivyo vyenye thamani ya sh.milioni 5 ni pamoja na viti (wheel chair) viatu( gumboot) gloves na vitanda vya kubebea wagonjwa.
Vifaa vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mjini Zanzibar, Marina Joel Thomas na kushuhudiwa na Mkurugenzi wa Manispa ya Zanzibar, Aboud Hassan Serenge (kushoto)
Picha na Martin Kabemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.