Habari za Punde

Kampuni ya Simu ya Tigo Kinara wa Mawasiliano Maonesho ya 41 ya Sabasaba Dar.

 Rais John Magufuli akimkabidhi Tuzo ya ushindi wa kipengele cha mawasiliano ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa sabasaba 2017 kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari, jijini Dar Es Salaam leo. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.

 Tuzo ikipokelewa.
Mkono wa pongezi ukitolewa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.