Habari za Punde

Kazi ya upakaji rangi Uwanja wa Gombani yaanza rasmi


KAZI ya Upakaji wa Rangi katika Uwanja wa Michezo Gombani imeanza rasmi katika sehemu mbali mbali za majukwaani, kazi hiyo inayofanywa na mafunzi wa Kampuni ya kizalendo ya Zanzibar ZECCON, pichani wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiwa kazini.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.