Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora Kati ya Jamhuri na JKU Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu Hizo Zimetoka sare ya Bao 1-1.

Golikipa wa Timu ya Jamuhuri akiokoa moja hatari golini kwake wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Nane Bora na Timu ya JKU uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizi zimetoka sare ya bao 1-1.
Mchezaji wa Timu ya Jamhuri kushoto akijaribu kumpita mchezaji wa Timu ya JKU wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Mashabiki wa mchezo wa mpira wa miguu Zanzibar wakishangilia bao la kusawazisha la Timu ya Jamuhri lililopatikana katika dakika ya 82 ya mchezo huo kipindi cha Pili.
Wachezaji wa Timu ya Jamuhuri wakishangilia bao lao la kusawazisha dhidi ya Timu ya JKU katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Wachezaji wa Timu ya Jamuhuri wakiomba dua baada ya mchezo huo kumalizika kwa sare ya bao
 1-1, uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.