Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Mabaharia Duniani Yaadhimishwa Zanzibar Viwanja Vya Mnara wa Mapinduzi Michenzani

Captain Azizi wa Shirika la Bandari Zanzibar akitowa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda hilo wakati wa maonesho ya kuadhimisha Siku ya Mabaharia Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Mnara wa Kumbumbuku  ya Mapinduzi michezani Zanzibar

KOPLO Makame Juma mtaalamu wa kuogelea katika Kikosi cha KMKM Zanzibar akitowa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la KMKM wakati wa maonesho ya kuadhimisha Siku ya Mabaharia Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Mnara wa Mapinduzi michezani

MKUFUNZI wa Chuo cha Mabaharia Zanzibar cha DANAOS Mbarouk Kheri akitowa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda hilo wakati wa maonesho ya kuadhimisha Siku ya Mabaharia duniani yalioadhimishwa katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu michezani Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.