Meya wa Zanzibar Msahiki Meya Mhe Khatib Abdurahaman Khatib akiwa na ugeni wake wa Meya kutoka Nchini Ujerumani wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora kati ya Timu ya Taifa ya Jangombe na Jamuhuri mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
Tunduru: Viuatilifu kuongeza uzalishaji wa Korosho Tunduru
-
Tunduru-Ruvuma.
Baadhi ya wakulima wa zao la korosho katika Tarafa ya Nakapanya Wilaya ya
Tunduru Mkoani Ruvuma,wamepongeza mpango wa Serikali wa kutoa b...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment