Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ahutubia Katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Aga Khan Yaliofanyika Zanzibar.

 Mgeni Rasmin Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud akifungwa beji ya Nembo ya miaka 60 ya Aga Khama na Kiongozi wa Jumuiya ya Isaila Zanzibar Rahimu Bhaloo alipowasili katika viwanja vya hafla hiyo katika Jamatii ya Islamia hurumzi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.