Habari za Punde

Msemaji wa Jeshi la Polisi Azungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas, akimsikiliza Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi kushika nafasi hiyo
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas, akizungumza na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi kushika nafasi hiyo

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas, akimkabidhi Jarida la Nchi yetu, Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini,Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania kushika nafasi hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas akimuonyesha Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini,Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa ofisi ya Msajili wa Magazeti wakati Msemaji huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania kushika nafasi hiyoNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.