Mbunge wa Sengerema Mh. William
Ngeleja (kushoto) akionesha nakala ya
malipo ya kiasi cha shilingi milioni 40.4 alizozirejesha Serikalini (TRA) fedha
alizopewa kama msaada toka kwa Bw. James Rugemalira wa Kampuni ya VIP
Engeneering and Marketing Ltd, kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Bi.
Zamaradi Kawawa.
Mbunge wa Sengerema Mh. William Ngeleja (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya kurejesha kiasi cha shilingi milioni 40.4 Serikalini (TRA) fedha alizopewa kama msaada toka kwa Bw. James Rugemalira wa Kampuni ya VIP Engeneering and Marketing Ltd, kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Bi. Zamaradi Kawawa.
Picha zote na Eliphace Marawa – Maelezo.
No comments:
Post a Comment