Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Biashara,Viwanda na Masoko na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)pamoja na Uongozi wa Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Mwenyekiti wa  Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)Bw.Kassim Malik Suleiman (kushoto) na Wajumbe wengine wa Bodi hiyo wakiwa katika kikao sha siku moja na Uongozi wa Wizara ya  Biashara,Viwanda na Masoko pamoja na Uongozi waShirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Biashara,Viwanda na Masoko na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)pamoja na Uongozi wa Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 04/07/2017. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.