Habari za Punde

Uimarishaji Miundombinu ya Barabara Viijini Zenj.

Mwananchi wa Kijiji cha Mwera kiongoni akitandaza kifusi katika barabara yao ya ndani kama alivyokutwa na kamera yetu akiwa katika kazi hiyo, kipindi cha mvua za masika barabara nyingi zimeharibika kwa kuchimbika na kuwa katika hali ya kuharibika kwa mashimo kuwa mengi. 

1 comment:

  1. Miundombinu ya barabara kijijini Mwera inahitajika kwa sababu ya kuharibiwa vibaya na mvua.Mazao hayawezi kufika sokoni kwa wakati unaohitajika. Mbali na hayo, vifusi vilivyotapakaa barabarani vinakuwa kikwazo kikubwa kwa magari kupita.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.