Habari za Punde

Kikao cha Siku moja juu ya kazi za Ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS

 WAFANYABIASHARA, watendaji wa Taasisi za Umma na Binafsi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, wakati akifungua kikao cha Siku moja juu ya kazi za Ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 AFISA mdhamini Wizara ya Biashara Viwanda na masoko zanizbar, Abdalla Juma Abdalla akizungumza na wafanyabiashara na watendaji wa taasisi binafsi, juu ya kazi za ukaguzi wa ubora wa biadhaa nchini unaotekelezwa na ZBS.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Mkoa Wa Mkaoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majidi Abdalla, akizfungua mkutano wa siku moja kwa wafanyabiashara na watendaji wa Taasisi za Umma na Binafsi kuhusu kazi za ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini, unaotekelezwa na ZBS.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKURUGENZI Mkuu wa ZBS Khatib Mwadini Khatib, akitoa utambulisho wa Taasisi ya Viwango kwa wafanyabiashara na watendaji wa taasisi za Umma na binafsi, kuhusu kazi za ukaguzi wa ubora wa bidhaa nchini unaotekelezwa na ZBS.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla, akiwa na watendaji wengine wa bodi ya ZBS Zanzibar, mara baada ya kufungua mafunzo huko katika ukumbi wa maktaba Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.