Habari za Punde

Kikosi cha Kilimani City Ikiwa Katika Mazoezi Makali Kujiandaa na Ligi Kuu wa Zanzibar Msimu Ujao.

Wachezaji wa Timu ya Kilimani City wakiwa katika mazoezi ya Gmy katika viwanja vya mnazi mmoja Zanzibar wakijiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu ya Zanzibar inayotarajiwa kufanyika mwezi ujao katika viwanja vya amaan Unguja na Gombani kisiwani Pemba. Ikiwa chini ya Kocha wake Mkuu Mohammed Badru. 
Kocha Mkuu wa Timu ya Kilimani City Mohammed Badru akikinowa kikosi chake cha kwanza kujiandaa na ligi kuu ya Zanzibar inayotarajiwa kuaza kutimua vumbi mwezi ujao katika viwanja vya Amaan Unguja na Gombani Kisiwani Pemba.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.